Tuesday, March 21, 2017
PICTURES FOR KIVULE CRUSADE DAY 1 (MKUTANO WA INJILI KIVULE SIKU YA KWANZA)
IKIWA HUKUWEZA KUHUDHURIA, TAZAMA PICHA
HAPA JINSI MKUTANO WA KIVULE ULIVYOKUWA......
WENGI SANA WAMEBARIKIWA, WAMEMPA BWANA
MAISHA YAO. WAGONJWA NA WENYE SHIDA
MBALIMBALI WALIBWAGA MIOYO YAO PALE
KUOMBEWA NA KUPATA BARAKA ZA BWANA.
HAKIKA MUNGU WA MBINGUNI ANAENDELEA
KUTUMIA WATUMISHI WAKE KUHUDUMIA WATU WAKE
KARIBU TUAMBATANE KATIKA KUINJILISHA
KITAA KWA KITAA NA WATUMISHI WA MUNGU
KUTOKA MBEYA.
WAIMBAJI WALIOSHIRIKI NI PAMOJA NA BEATRICE KITAULI,
JOSHUA KYANDO, KWAYA KUTOKA MBEYA ILIYOAMBATANA
NA MCHUNGAJI/MWINJILISTI JOEL KYANDO
MCHUNGAJI ALIYEHUDUMU NI JOEL KYANDO KUTOKA MBEYA.
HAKIKA BWANA ANAONEKANA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment